Naturbruket Siljan inatoa huduma za kiwango cha hali ya juu ikiwa ni pamoja na Fuata Asili, Utalii wa Kilimo na Malazi.
Kwanini usijipe nafasi ya kujaribu jambo tofauti la kifamilia katika shamba letu la kiekolojia na kupata ufahamu mzuri zaidi wa maadili na misingi ya Permaculture?
Karibu ujionee utalii wa mazingira kwenye ukanda wa Ziwa Siljan!
Bonyeza kifungo kimojawapo hapo kushoto ukitaka kuendelea.
Copyright 2010 Naturbruket Siljan |