tanzania_liten.gif spanien_liten.gifengland_liten.gifsverige_liten.gif
Nyumbani Malazi Shughuli Chakula Permaculture Zanzibar Kuhusu sisi Wasiliana nasi
logotyp.gif
Kaa nasi Fuata Asili

Utalii wa Kilimo

Picha

Agroturism.JPG

Utalii wa Kilimo

Naturbruket Siljan inakupa uwezekano wa kujionjea na kuhisi haiba ya maisha kwenye shamba la kimila ya kiswidi na la kiekolojia.

Ukitaka kushiriki kwenye maisha ya kiekolojia ya shamba unaweza, kwa mfano, kusaidia kuhamisha kondoo wa kigute (kondoo wenye asili ya Uswidi), kuchanja kuni, kutunza bustani, kutayarisha chakula au kuoka kwa kutumia jiko maalumu litumialo kuni. Au ukitaka, unaweza kupumzika tu shambani bila ya kufanya chochote!

Tunataka kuzalisha kile ambacho sisi wenyewe tutapenda kula na ziada ili watu wengine wafaidi baadhi ya matunda, matunda madogo madogo (berries), mboga na mimea kutoka bustanini. Bila ya hofu, kila kitu kimezalishwa kiekolojia na kwa nguvukazi!

Kwa picha zaidi, tafadhali tizama "picha" za Utalii wa Kilimo!

Ukitaka kukaa nasi, utapata maelezo zaidi kwenye ‘Malazi

 

 Copyright 2012 Naturbruket Siljan