tanzania_liten.gif spanien_liten.gifengland_liten.gifsverige_liten.gif
Tuelewe Utalii wa Mazingira Furushi la likizo Jinsi ya kufika Wasiliana nasi
logotyp.gif

Tunajifunza zaidi

Tunajifunza zaidi jinsi gani ya kuhifadhi bidhaa zinazozalishwa bustanini mwetu na kuongeza thamani ya bidhaa hizo kama vile matunda, beri (berries), mbogamboga na viungo. Asya alishiriki mafunzo mafupi katika Chuo cha taifa kinachohusika na uhifadhi wa chakula kwa biashara ndogo ndogo, Eldrimner kiliopo Jämtland.

Lengo letu ni kuhifadhi bidhaa zitokazo shambani kwetu na kuziuzia hapa hapa shambani Bockgården.

Oktoba 2009

 baringo

 Copyright 2010 Naturbruket Siljan