tanzania_liten.gif spanien_liten.gifengland_liten.gifsverige_liten.gif
Tuelewe Utalii wa Mazingira Furushi la likizo Jinsi ya kufika Wasiliana nasi
logotyp.gif

Talii na farasi

Daima mtu anaweza kuburudika na farasi. Tizama shughuli zetu za kipindi cha kuchipua…Aprili 2010.

Malazi yamefunguliwa tena!

Tunafuraha kukujuulisha kuwa hivi sasa...Jan 2010

Taarifa za sasa

Je, unataka kujua kinachoendelea hivi sasa shambani kwetu?...Okt. 2009

Tunajifunza zaidi

Tunajifunza zaidi jinsi gani ya kuhifadhi bidhaa zinazozalishwa bustanini mwetu...Okt. 2009

 

Firsta-sidan1.jpg

Karibu Naturbruket Siljan!

Lengo letu ni kuwapa kumbukumbu zisizosahaulika kutoka shambani kwetu kwa wale wanaopenda kuwa karibu na mazingira asilia na kushiriki kwa vitendo shughuli mbalimbali katika mazingira rafiki. Tupo kwa ajili yako unaependelea utalii wa mazingira!

Naturbruket Siljan (Silyan) inatoa pia huduma kwa wamiliki wa misitu, wanyama walao majani, na wamiliki wa bustani. Huduma hizo ni katika maeneo ya ’Permaculture’, kilimo na msitu. Maelezo zaidi ya huduma hizi yanapatikana katika kurasa za Kiswidi.

Naturbruket Siljan ni biashara ya familiya yenye mtandao mkubwa unaofahamika kwa ajili ya kutimiza matakwa yako na ndoto zako. Tunapatikana katika mkoa wa Dalarna ulio maarufu kwa utamaduni wake uliopo katika ukanda wa Ziwa Siljan, kitovu cha Uswidi.

Naturbruket Siljan - Tunaheshimu maliasili!

 baringo

 Copyright 2010 Naturbruket Siljan