Kwa kushirikiana na majirani zetu na farasi wao wa utamaduni, ‘nordsvenskar’, tunakualika kwenye ziara kwa kutumia farasi kwenda katika chemchemu ya maji asilia, Springkällan. Springkällan ipo katika eneo zuri la Enån. Hivi karibuni, Enån itaingizwa kwenye hifadhi asilia kutokana na thamani ya biolojia na mkondo wake unaoelekea ziwa Siljan. Soma zaidi kwenye ‘Furushi la likizo’
Aprili 2010
|
Copyright 2012 Naturbruket Siljan |