tanzania_liten.gif spanien_liten.gifengland_liten.gifsverige_liten.gif
Nyumbani Malazi Shughuli Chakula Permaculture Zanzibar Kuhusu sisi Wasiliana nasi
logotyp.gif

Paketupplevelser.jpg

Furushi la likizo

Je, unatamani kupata likizo ya aina yake? Usiwe na khofu, huenda tukawa na jibu! Zaidi ya Fuata Asili, Utalii wa kilimo na Malazi ambapo una nafasi ya kuishi nasi na kufanya shughuli zako peke yako, tumeandaa pia shughuli mbali mbali za aina yake. Tumejiandaa kukupatia ujuzi mbalimbali kuanzia kutalii na kuvumbua mazingira asilia kwa mguu au kwa farasi, mafunzo kwa vitendo na kwa nadharia mpaka ujuzi wa kitamaduni kwa lengo la kufanya makazi yako kwenye shamba letu hapa Dalarna, Uswidi (Sweden) yawe na raha, yenye kuelimisha na zaidi ya yote yaliojaa kumbukumbu zisizosahaulika!

Mafurushi kabambe ya likizo angalia kushoto, mengine yatawasilishwa hivi karibuni.

 

 Copyright 2012 Naturbruket Siljan