tanzania_liten.gif spanien_liten.gifengland_liten.gifsverige_liten.gif
Nyumbani Malazi Shughuli Chakula Permaculture Zanzibar Kuhusu sisi Wasiliana nasi
logotyp.gif

PC130105.JPG

Permaculture Zanzibar

Je, unapenda kuishi maisha endelevu? Unapenda kuchangia ulimwengu maridhawa? Permaculture Zanzibar inatoa fursa kwa Wazanzibari kuweza kujisaidia wenyewe na kuwasaidia wengine kwa njia ya mafunzo kupitia Mfuko wa Fedha wa Kilimodumu Zanzibar.

 

Ufahamu wa kilimodumu unaweza kukupa uwezo wa kutafakari na kutoa maamuzi yako ukiwa na taarifa pia kukupa hisia halisi ya kujishajiisha. Tunatarajia kupata maombi yako ya mafunzo!

 

Naturbuket Siljan inachangia fedha na muda wake kwa njia ya kujitolea ili kuiwezesha programu ya Kilimodumu Zanzibar ifanikiwe. Tunafanya hivi kwa sababu tunaimani itasaidia kuleta athari chanya visiwani humo ambapo Asya, mmiliki wa Naturbuket Siljan anatokea na ni visiwa anavyovipenda.

 

Kwa wewe mwenye uwezo, tunakupa fursa ya namna yake ya kuweza kuungana nasi katika kutoa ahadi za kuleta mabadiliko kwa kujitolea rasilimali ndogo zitakazosaidia kuleta maendeleo chanya kwenye programu hii.

 

Kwa maelezo zaidi, tafadhali soma kwenye kurasa upande wa kushoto, pia kuwa nasi katika ukurasa wa facebook ”Permaculture  Zanzibar”!

 

 Copyright 2012 Naturbruket Siljan