Mtandao wa Permaculture Zanzibar tumeanza mwaka 2010 kwa kuwa tunaamini kuwa ”permaculture” inaweza kutusaidia kunyanyua kiwango cha maisha cha wazanzibari. Tumejadili na watu mbalimbali waliopo ndani na nje ya Zanzibar na tumefurahi kuona kuwa watu wengi wao wanaamini kama tunavyoamini sisi na pia wengine wakitaka kujifunza zaidi jinsi ya kuishi kiikolojia. Unaweza kusoma zaidi kuhusu mpango huu chini ya Permuculture Zanzibar. Maelezo yaliyopo ni kwa kiingereza, tafsiri yake kwa kiswahili tunaifanyia kazi.
April 2011.
|
Copyright 2012 Naturbruket Siljan |