tanzania_liten.gif spanien_liten.gifengland_liten.gifsverige_liten.gif
Nyumbani Malazi Shughuli Chakula Permaculture Zanzibar Kuhusu sisi Wasiliana nasi
logotyp.gif

vi.jpg

Sisi

Neno ’sisi’ lina maana kubwa kwetu. ’Sisi’, Sven na Asya Uhlås ambao tumekulia shamba; Sven amekulia Uswidi ilhali Asya amekulia Zanzibar, Tanzania.

Sisi tumefanya kazi na kujuana kupitia Vi-skogen, Shirika la Maendeleo Vijijini, nchini Tanzania. ’Vi’ ni neno la kiswidi lenye kumaanisha ’sisi’. Juhudi zetu za kutaka kuwaendeleza watu wa vijijini na kuwawezesha kustawisha na kunawiri mimea yao ndizo zilizotukutanisha pamoja. Wote mnakaribishwa ili tuendelee kukua na kufaidika pamoja na Naturbruket Siljan.

Tupo pamoja nawe!

 

 Copyright 2012 Naturbruket Siljan